Ufafanuzi wa makisio katika Kiswahili

makisio

nominoPlural makisio

  • 1

    kiasi cha fedha kilichokadiriwa kutosheleza haja za shughuli fulani.

  • 2

    uelezaji wa jambo au habari usiokuwa na hakika.

Matamshi

makisio

/makisijɔ/