Ufafanuzi wa makubaliano katika Kiswahili

makubaliano

nomino

  • 1

    suluhu baina ya watu wenye maoni au mitazamo tofauti.

    mapatano

Asili

Kar

Matamshi

makubaliano

/makubalijanÉ”/