Ufafanuzi wa makubwa katika Kiswahili

makubwa

nominoPlural makubwa

  • 1

    mambo yaliyozidi kimo, mambo ya kutisha, mambo yasiyo ya kawaida.

Matamshi

makubwa

/makubwa/