Ufafanuzi msingi wa makusudi katika Kiswahili

: makusudi1makusudi2

makusudi1 , makusudio

nominoPlural makusudi

  • 1

    sababu ya kufanya jambo.

    madhumuni, lengo, azma, shabaha

Matamshi

makusudi

/makusudi/

Ufafanuzi msingi wa makusudi katika Kiswahili

: makusudi1makusudi2

makusudi2

kielezi

  • 1

    kwa kutilia nia; kwa kudhamiria.

    ‘Amenipiga kumbo makusudi’

Asili

Kar

Matamshi

makusudi

/makusudi/