Ufafanuzi wa makuzi katika Kiswahili

makuzi

nominoPlural makuzi

  • 1

    namna mtu anavyolelewa.

    malezi

  • 2

    namna ya kukuza au kuendeleza kitu.

Matamshi

makuzi

/makuzi/