Ufafanuzi wa makwa katika Kiswahili

makwa

nominoPlural makwa

  • 1

    mkato wa sehemu ya ncha ya mti ambapo mti mwingine uliokatwa kama huo huungwa nao.

  • 2

    kipande cha mti cha kuweka mbavuni mwa chombo ili shehena isipate maji.

Matamshi

makwa

/makwa/