Ufafanuzi wa malai katika Kiswahili

malai

nominoPlural malai

  • 1

    utandu wa maziwa wenye mafuta yanayoweza kutengenezwa samli au siagi.

Matamshi

malai

/malaji/