Ufafanuzi wa malaika katika Kiswahili

malaika

nominoPlural malaika

  • 1

    kiumbe asiyeonekana ambaye anasadikiwa kuwa ameumbwa na Mungu kwa nuru.

  • 2

    mtoto mchanga.

Matamshi

malaika

/malajika/