Ufafanuzi wa malenga katika Kiswahili

malenga

nomino

  • 1

    mtunzi stadi wa mashairi na nyimbo.

Matamshi

malenga

/malɛnga/