Ufafanuzi wa malezi katika Kiswahili

malezi

nominoPlural malezi

  • 1

    njia ya ukuzaji wa mtoto kwa kutarajiwa kufuata tabia na mwenendo unaostahiki.

    makuzi, funzo

Matamshi

malezi

/malɛzi/