Ufafanuzi wa malhamu katika Kiswahili

malhamu

nominoPlural malhamu

  • 1

    aina ya dawa za mafuta, agh. hupakwa mwilini mahali palipovimba.

Asili

Kar

Matamshi

malhamu

/malhamu/