Ufafanuzi wa mali katika Kiswahili

mali

nominoPlural mali

 • 1

  kitu kinachomilikiwa na mtu.

  ‘Shati hili ni mali ya Juma’
  haki

 • 2

  jumla ya vitu vyenye thamani kubwa alivyonavyo mtu; kitu cha thamani kubwa.

  bango, hodhi

Asili

Kar

Matamshi

mali

/mali/