Ufafanuzi wa malighafi katika Kiswahili

malighafi

nominoPlural malighafi

  • 1

    mali ambayo hutumika kutengenezea kitu kingine.

    ‘Malighafi nyingine muhimu kwa kiwanda hicho ni makaa ya mawe pamoja na chumvi’

Asili

Kar

Matamshi

malighafi

/maliɚafi/