Ufafanuzi wa malindi katika Kiswahili

malindi

nominoPlural malindi

  • 1

    ndizi ndefu zenye maganda ya kijani hata zinapoiva.

Matamshi

malindi

/malindi/