Ufafanuzi wa maliwazo katika Kiswahili

maliwazo

nomino

  • 1

    maneno au kitendo cha kumfariji mtu aliyefikwa na jambo la msiba au huzuni.

Matamshi

maliwazo

/maliwazÉ”/