Ufafanuzi wa maliza katika Kiswahili

maliza

transitive verb

  • 1

    fanya kitu au jambo liishe.

    kamilisha, hitimisha, akidi, isha

Matamshi

maliza

/maliza/