Ufafanuzi wa malizika katika Kiswahili

malizika

kitenzi sielekezi~ia

  • 1

    fikia hatua ya mwisho.

    kamilika

Matamshi

malizika

/malizika/