Ufafanuzi wa mamantilie katika Kiswahili

mamantilie

nominoPlural mamantilie

  • 1

    mwanamke anayefanya biashara ya kuuza chakula nyumbani au magengeni.

Matamshi

mamantilie

/mamantilijɛ/