Ufafanuzi wa Manani katika Kiswahili

Manani

nominoPlural Manani

Kidini
  • 1

    Kidini
    jina mojawapo la Mwenyezi Mungu, ambalo huashiria sifa yake ya upaji.

Asili

Kar

Matamshi

Manani

/manani/