Ufafanuzi wa manati katika Kiswahili

manati

nominoPlural manati

  • 1

    kitu cha kutupia mawe madogo kitengenezwacho kwa mpira na kipande cha mti chenye panda.

    fyata, panda

Asili

Kar

Matamshi

manati

/manati/