Ufafanuzi wa manda katika Kiswahili

manda

nominoPlural manda

  • 1

    mkate mdogo wa unga wa mchele unaookwa na wenye umbo la yai.

Matamshi

manda

/manda/