Ufafanuzi wa mandari katika Kiswahili

mandari

nominoPlural mandari

  • 1

    matembezi ya kundi la watu kwenda kando ya mji kwa starehe inayoambatana na kula, kunywa na kucheza.

Matamshi

mandari

/mandari/