Ufafanuzi wa manemane katika Kiswahili

manemane

nomino

  • 1

    dawa ya kunywa au kupaka inayotokana na utomvu wa mti fulani ambayo huganda kama sandarusi.

Matamshi

manemane

/manɛmanɛ/