Ufafanuzi wa mangamanga katika Kiswahili

mangamanga

kitenzi sielekezi

  • 1

    enda huko na huko bila kufanya kazi.

    zurura

Matamshi

mangamanga

/mangamanga/