Ufafanuzi wa mangungumbaro katika Kiswahili

mangungumbaro

nomino

  • 1

    mambo ya fujo au ya kinguvu.

    mkikimkiki, ghasia

Matamshi

mangungumbaro

/mangungumbarÉ”/