Ufafanuzi wa manispaa katika Kiswahili

manispaa

nomino

  • 1

    halmashauri iliyo kubwa kuliko ya mji na ndogo kuliko ya jiji.

Asili

Kar

Matamshi

manispaa

/manispa:/