Ufafanuzi wa manowari katika Kiswahili

manowari

nomino

  • 1

    chombo cha baharini kilichoundwa kwa chuma na chenye silaha za kivita k.v. mizinga.

Asili

Kng

Matamshi

manowari

/manɔwari/