Ufafanuzi wa mansuli katika Kiswahili

mansuli

nominoPlural mansuli

  • 1

    nguo ya sufu inayotumiwa kwa kutandika kitandani juu ya shuka.

Asili

Kar

Matamshi

mansuli

/mansuli/