Ufafanuzi wa manufaa katika Kiswahili

manufaa

nominoPlural manufaa

  • 1

    matokeo au jambo zuri linalopatikana baada ya kutenda jambo.

    faida

Asili

Kar

Matamshi

manufaa

/manufa:/