Ufafanuzi wa manukato katika Kiswahili

manukato

nomino

  • 1

    kitu cha kujipambia kinachotoa harufu nzuri k.v. udi au uturi.

    marashi, uturi, utamaradi

Matamshi

manukato

/manukatÉ”/