Ufafanuzi wa manung’uniko katika Kiswahili

manung’uniko

nominoPlural manung’uniko

  • 1

    maneno yanayotolewa na mtu ili kuonyesha kutoridhika kwake na jambo.

    malalamiko

Matamshi

manung’uniko

/manuŋunikɔ/