Ufafanuzi msingi wa manuva katika Kiswahili

: manuva1manuva2

manuva1

nomino

  • 1

    mbinu na mikakati makini k.v. ya kivita.

    luteka, maneva

Asili

Kng

Matamshi

manuva

/manuva/

Ufafanuzi msingi wa manuva katika Kiswahili

: manuva1manuva2

manuva2

kitenzi elekezi

  • 1

    endesha kifundi.

Matamshi

manuva

/manuva/