Ufafanuzi wa manyanga katika Kiswahili

manyanga

nomino

  • 1

    kifaa kilichotiwa kokoto au mbegu ambacho hutumika kama ala ya muziki ya kutikiswa.

Matamshi

manyanga

/maɲanga/