Ufafanuzi wa manyunyu katika Kiswahili

manyunyu

nominoPlural manyunyu

  • 1

    mvua inayonyesha kidogokidogo.

Matamshi

manyunyu

/maɲuɲu/