Ufafanuzi msingi wa maombi katika Kiswahili

: maombi1maombi2

maombi1

nominoPlural maombi

 • 1

  matakwa ya mtu yanayopelekwa kwa mwenye cheo au uwezo wa kuyatimiza.

  haja, matakwa

Matamshi

maombi

/maɔmbi/

Ufafanuzi msingi wa maombi katika Kiswahili

: maombi1maombi2

maombi2

nominoPlural maombi

Kidini
 • 1

  Kidini
  mahitaji anayoombwa Mwenyezi Mungu.

  dua

Matamshi

maombi

/maɔmbi/