Ufafanuzi wa maombolezo katika Kiswahili

maombolezo, maombolezi

nominoPlural maombolezo

  • 1

    maneno ya masikitiko yanayosemwa au kuimbwa na mtu anayefikwa na msiba au shida.

Matamshi

maombolezo

/maɔmbɔlɛzɔ/