Ufafanuzi wa maongozi katika Kiswahili

maongozi

nominoPlural maongozi

  • 1

    kanuni za kufanya jambo kwa uadilifu.

Matamshi

maongozi

/maɔngɔzi/