Ufafanuzi wa maonyesho katika Kiswahili

maonyesho

nomino

  • 1

    hali ya kuweka hadharani vitu k.v. bidhaa au kazi mbalimbali ili watu wavione na pengine kuvinunua.

Matamshi

maonyesho

/maɔnɛ∫ɔ/