Ufafanuzi wa mapatilizo katika Kiswahili

mapatilizo

nominoPlural mapatilizo

  • 1

    adhabu, agh. kutoka kwa Mungu.

Matamshi

mapatilizo

/mapatilizɔ/