Ufafanuzi wa mapema katika Kiswahili

mapema

nominoPlural mapema

  • 1

    kabla ya wakati uliotajwa.

  • 2

    wakati wa mwanzo wa asubuhi.

    alfajiri

Matamshi

mapema

/mapɛma/