Ufafanuzi wa mapenzi katika Kiswahili

mapenzi

nominoPlural mapenzi

  • 1

    hali ya kuingiwa moyoni na kuthamini mtu au kitu zaidi ya mwingine au kingine.

    ‘Kila mzalendo ni lazima awe na mapenzi na nchi yake’
    ‘Hana mapenzi na jamaa zake’
    mahaba, hisi, mapendano, nyonda, huba

Matamshi

mapenzi

/mapɛnzi/