Ufafanuzi wa mapigano katika Kiswahili

mapigano

nomino

  • 1

    ugomvi kati ya pande mbili zinazohitilafiana.

    adharusi, vita, kondo, kitali

Matamshi

mapigano

/mapiganÉ”/