Ufafanuzi wa mapiswa katika Kiswahili

mapiswa

nominoPlural mapiswa

  • 1

    maneno yasiyo na maana.

  • 2

    hali ya kupotelewa na akili.

Matamshi

mapiswa

/mapiswa/