Ufafanuzi wa mapokeo katika Kiswahili

mapokeo

nominoPlural mapokeo

  • 1

    fikira, mila na desturi zilizorithishwa kutoka kizazi kimoja hadi kingine.

Matamshi

mapokeo

/mapɔkɛɔ/