Ufafanuzi wa mapuya katika Kiswahili

mapuya

nominoPlural mapuya

  • 1

    pombe ya kienyeji iliyotengenezwa kwa mapumba ya nafaka.

    manjilili

Matamshi

mapuya

/mapuja/