Ufafanuzi wa maradhi katika Kiswahili

maradhi

nomino

  • 1

    kitu kinachompata mtu au mnyama na kuathiri afya yake.

    ugonjwa, ukongo, uele

Asili

Kar

Matamshi

maradhi

/maraĆ°i/