Ufafanuzi wa marejeo katika Kiswahili

marejeo

nominoPlural marejeo

  • 1

    mwendo au tendo la kurudi kutoka safarini.

  • 2

    makala yaliyotumika au kunukuliwa katika kuandika maandishi fulani.

Matamshi

marejeo

/marɛʄɛjɔ/