Ufafanuzi wa marekebisho katika Kiswahili

marekebisho

nominoPlural marekebisho

  • 1

    hali ya kubadilisha au kutengeneza kitu, hali, n.k. ili kuwa bora zaidi.

    ‘Maoni yangu kuhusu mapendekezo ya marekebisho ya katiba yamekubaliwa’

Matamshi

marekebisho

/marɛkɛbi∫ɔ/