Ufafanuzi wa maridhio katika Kiswahili

maridhio

nominoPlural maridhio

  • 1

    mambo ambayo mtu amekubaliana nayo.

Asili

Kar

Matamshi

maridhio

/mariðijɔ/