Ufafanuzi wa marijani katika Kiswahili

marijani

nominoPlural marijani

  • 1

    kito chekundu kifananacho na matumbawe.

  • 2

    shanga zifananazo na mbegu za mmea unaopatikana katika wangwa wa pwani.

Asili

Kar

Matamshi

marijani

/mariʄani/